HIMID MAO MKAMI ALAMBA DUME ULAYA
Kiungo Mtanzania Himid Mao Mkami (NINJA) wa AZAM fc ameanza majaribio ya siku 10 katika kikosi cha Rainders cha nchini Denmark.
Klabu ya Azam FC imesema Himid maarufu kama Ninja atakuwa nchini humo kwa siku 10 akiendele na majaribio na watatoa baraka zote kwa mchezaji huyo na kama atafuzu moja kwa moja masuala ya mikataba yatafuata
Himid atakua mchezaji wa pili wa Tanzania kujariu bahati yake akitokea AZAM amayo ilikwisha fanya hivo kwa Farid MUSA MALIK aliye timukia nchini UHISPANIA katika Club ya TENERRIF na Tayari amewasili nchini humo na kuanza mazoezi ambayo ndiyo majaribio.
kila la kheri HIMID MAO MKAMI huko uendako kaitangaze TANZANIA
No comments