PAUL POGBA
Taarifa kutoka ndani ya club ya manchester united zinasema katika mchezo wa leo wa uefa europa league kati ya clu hiyo dhidi ya CELTA vigo tutegemee kuwaona nyota tegeneo wa timu hiyo waliokua wakisumuliwaa na majeruhi wakijumuishwa katika kikosi hicho
nyota hao ni pamoja na kiungo PAULPOGBA, Na maeki ERIC BAILY, CRISS SMALLING pamoja na PHILL JONES
|
No comments