Video: Jaden Smith na uji wa Album mpya
Hata hivyo Jaden ametweet kuwa ataachia nyimbo nyingine yenye ladha ya pop baada ya miezi minne.

”Naendelea vizuri na filamu (life in a year) ambayo nimeigiza na Cara(Delevingne) huko Toronto. Kwa sasa nategemea kuachia ngoma yangu itakayoitwa “Batman” baada ya muda si mrefu. Pia nina video yangu iitwayo “Watch me” ambayo itafuatana na album yangu “Syre”
No comments