Wiz Kid athibitisha ujio wa colabo na Future na Ty Dolla $ign….
- Msanii kutoka Nigeria WizKid mwezi huu wa tano 2017 amethibitisha kufanya colabo na rapa wawili wakubwa kutoka Marekani #Future pamoja na #TyDolla$ign.
Kupitia Twitter ns SnapChat Yake WizKid ameandika Hivi….
“Big up the hommie big @1future ! We got some heat on the way!!! #Bangaz4summer17!!”


No comments