Chemical ‘aanika’ uzuri wake mtandaoni
Ikiwa amezoeleka kuonekana katika muonekanao wa kiume, hatimaye msanii wa Bongo Flava Chemical ameamua kuonyesha muonekanao wake mwingine.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii huyo ameposti picha yake mpya akiwa amepaka make-up pamoja na kuvaa nguo ya kike ya kisasa zaidi.
YES/No…
,’ ameandika rapper huyo wa kike akitaka kuona mashabiki zake watasema nini.
No comments