Tanzia: Mtangazaji wa E-FM Seth Bikira wa Kisukuma afariki Dunia


Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha Ubaoni cha Jiani Seth Bikira wa Kisukuma ameripotiwa kufariki Dunia jioni hii Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anatibiwa.

Seth alikuwa akifanya kipindi hicho pamoja na Emmanuel Kapanga, na Mpoki kilichokuwa kikianza saa 10:00 Alaasiri hadi saa 1:00 usiku.

No comments

Powered by Blogger.