Kikosi kipya cha Taifa Stars kilichotangazwa leo Mei 19, 2019
Taifa Stars sasa imeanza harakati za kuwania
kufuzu Afcon mwaka 2019 na itaanza harakati zake dhidi ya Lesotho.
Mchezo wa awali wa kuwania kufuzu Afcon ambao
utapigwa Juni 10 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Timu inaingia kambini Jumatatu ya wiki ijayo
jijini Dar es Salaam na itabaki kambini kuanzia Mei 24 hadi 29.
Mei 30 kikosi hicho kitaondoka nchini kwenda
Misri katika kambi maalum kabla ya kurejea Juni 7.
Fainali za Afcon 2019 zitaafanyika Cameroon
kuanzia Januari 12 hadi Februari 3, 2019
No comments